ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Kawaida yangu huwa sitoi pesa bila kupata kitu.Ushauri jifunze kuhonga[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kawaida yangu huwa sitoi pesa bila kupata kitu.Ushauri jifunze kuhonga[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Anahisi yupo kazini muda wote
Unishtue48k on the way
Usijali Dada. NitakucallUnishtue
Mambo ya sumbai haya.Anahisi yupo kazini muda wote
Hii itakuwa yangu.48k on the way
Mabinti wazuri kama lizzibetie utaishia kuwaita shemdarling.[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kawaida yangu huwa sitoi pesa bila kupata kitu.
Sawa kakaUsijali Dada. Nitakucall
Kwahyo unamaanisha kwamba brother anahonga sana kwa Lizzie.Mabinti wazuri kama lizzibetie utaishia kuwaita shemdarling.[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha yangu hiyoHii itakuwa yangu.
[emoji485] chukua hiyo dadaSawa kaka
Hahahaha tutaona, ila jimena hatabiriki usikute yuko sehemu ametulia anasubiri aitupie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha yangu hiyo
Sana.We kaa hapo hujui hata kuhonga chips kiepe ndo maana nahrene ameona isiwe tabu mashoga zake wote wanatembelea miguu minne[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahyo unamaanisha kwamba brother anahonga sana kwa Lizzie.
Nataka nikutoe nje ya reliHahahaha tutaona, ila jimena hatabiriki usikute yuko sehemu ametulia anasubiri aitupie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kaka.[emoji485] chukua hiyo dada
Kwakweli waende tu maana hakuna namna.Sana.We kaa hapo hujui hata kuhonga chips kiepe ndo maana nahrene ameona isiwe tabu mashoga zake wote wanatembelea miguu minne[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha,brother utasubiri sana.Nataka nikutoe nje ya reli
Kweli hujui matunzo.acha aendeKwakweli waende tu maana hakuna namna.
Siwezi kuhonga gari wakati mwenyewe natembelea miguu,itakuwa zaidi ya ulofa.
Usije kusubiri wewe bro,Hahahaha,brother utasubiri sana.