Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Big Brother Africa
Lazima tulee vipaji vya huo mchezo sisi ni mabingwa mara mbili, sawa na nigeria tuu
To some extent hata BBA nadhani tulibebwa tu...tulicheza na marefa!
Big Brother Africa
Lazima tulee vipaji vya huo mchezo sisi ni mabingwa mara mbili, sawa na nigeria tuu
Hamna kwa hilo tujikubali tuu tuko vzuri BBATo some extent hata BBA nadhani tulibebwa tu...tulicheza na marefa!
Nambie shemdarling wangu! Mzima wewe?Shemdarling
BBA ni performance ya mtu mmoja...hakuna utaifa hapo ndo maana hata kale kabinti ketu kalipopigwa mjengo live JWTZ hawakuingia vitani kwa kuwa lilikuwa suala binafsi!Hamna kwa hilo tujikubali tuu tuko vzuri BBA
Huwa wana kabidhiwa hadi bendera wale na utaifa huwa unapewa kipaumbele sanaaBBA ni performance ya mtu mmoja...hakuna utaifa hapo ndo maana hata kale kabinti ketu kalipopigwa mjengo live JWTZ hawakuingia vitani kwa kuwa lilikuwa suala binafsi!
HahahahaaaMtapigwa 2 kwa nunge.
![]()
![]()
![]()
Kwanini kwa kauli moja tusikubaliane kutokukubaliana kwamba sisi hatuwezi mchezo wowote isipokuwa kutikisa vyura?Huwa wana kabidhiwa hadi bendera wale na utaifa huwa unapewa kipaumbele sanaa
Hahahaaa... Na yenyewe utaambiwa yana madhara. Labda ufocus kwenye uji.Hahahaha
Ngoja nifocus kwenye maji zaidi
Ni kweli kabisaHahahahaaa
Kwa kweli taifa stars siyo ya kuidhamini, ila huu mchezo hauihitaji hasira bhana

Kuku sio sana, ni Bata tu mpaka kuku waone wivuInaonekana wewe si mpenzi wa kula kuku.
![]()
![]()
![]()
Mi sijawahi kuishabikia,Hahahahaaa
Kwa kweli taifa stars siyo ya kuidhamini, ila huu mchezo hauihitaji hasira bhana
tu sijui siku hizi iko wapiHahahMi sijawahi kuishabikia,
Nilikuwa naipenda ile ya vijebatu sijui siku hizi iko wapi

Saaa uji ttzo litakuwa sukariHahahaaa... Na yenyewe utaambiwa yana madhara. Labda ufocus kwenye uji.
Jamaniiii sasa mbona siku hizi siisikii?Hahah
Alikiwa kijeba mmoja tuu, yule jamaa wa simba
Wale madogo walikuwa wanaomba hadi chumvi wasaidiwe
![]()
Siku hizi wengi walizeeka, halaf kulikuwa na mzuka fulani hivi mkubwa kweli kweliiiJamaniiii sasa mbona siku hizi siisikii?