amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Sijambo shikamooo shemejiiiHujambo shemeji?

Sijambo shikamooo shemejiiiHujambo shemeji?

Tuko vizuri mwenye mchezo wa bao, draft na mapenzi japo siyo yale ya dhati.Hivi hatuwezi kusearch kujua Tz ni mahiri kwenye mchezo gani hasa?
Taifa kiazi![]()
![]()
![]()
2:0
Mimi niko vizuri pia nafurahia weekend huku mabwepande, Karibuni.Sie wazima tunaifurahia weekend
Vip wewe uko poa???
Asante sanaaaMimi niko vizuri pia nafurahia weekend huku mabwepande, Karibuni.
Shemeji hata siku mbili hakuna tatizo huko ni mwendo wa kutwanga vitwanga hivyo siku moja haitatosha muje mukae siku mbili kabisa ili wapate adabu hawa vitwanga.Asante sanaaa
Siku moja tutaja kukutembelea
Hapo kwenye vitwanga sasaShemeji hata siku mbili hakuna tatizo huko ni mwendo wa kutwanga vitwanga hivyo siku moja haitatosha muje mukae siku mbili kabisa ili wapate adabu hawa vitwanga.

Uje na kijana lakini sitaki kesi kuwa mbona mke wangu alikuja anatembea wima sasa anaswing barabara nzima,Hakutakuwa na offtime ni bandika kitwanga bandua mnofu mpaka kuchwe shemeji.Hapo kwenye vitwanga sasa
Hata wiki ntakaa![]()
![]()
Basi sawa wacha nifanye maandalizi ya kupokea wageni wa kitwanga na vitwanga viwe vya kutosha hapa.
Big Brother AfricaHivi hatuwezi kusearch kujua Tz ni mahiri kwenye mchezo gani hasa?
Weekend gud tunaendelea kupata juis zetu, soda na majiWeekend adje kapukuz????