EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Iko njema sana shem. Vipi kwako?Weekend adje kapukuz????
Iko njema sana shem. Vipi kwako?Weekend adje kapukuz????
Pooltable na Mapenzi ya uongo.Hivi hatuwezi kusearch kujua Tz ni mahiri kwenye mchezo gani hasa?
Hivi mapenzi ya uongo yanaendeshwa kwa mfumo wa ligi? Na mshindi huwa anapata tournament gani?Pooltable na Mapenzi ya uongo.
Inapendeza sanaWeekend gud tunaendelea kupata juis zetu, soda na maji
Mie mzima my shemdarlingNambie shemdarling wangu! Mzima wewe?
Kwangu ni poa sanaaaIko njema sana shem. Vipi kwako?
AnhaaaInapendeza sana
Sisi WA mikoa ya baridi tunapata zile za kuongeza joto
Bei ya Kilo ya sukari napata zile nnazopenda mbiliAnhaaa
Mnakunywa chai!!?

Weka hata chumvi, uji wa chumvi ni mtamu mno. Hahahaaa...Saaa uji ttzo litakuwa sukari
Achana na sukariBei ya Kilo ya sukari napata zile nnazopenda mbili![]()
![]()
![]()
Ngoja waje.Hivi mapenzi ya uongo yanaendeshwa kwa mfumo wa ligi? Na mshindi huwa anapata tournament gani?
Nshaachana nayo siku mingiiiiAchana na sukari
Ni uharibifu wa pesa

Basi endelea kuisherehekea kwa amani shemdarling wangu.Kwangu ni poa sanaaa
Ngoja waje.
Sasa waitengeneze ile timu sasaSiku hizi wengi walizeeka, halaf kulikuwa na mzuka fulani hivi mkubwa kweli kweliii
HahahaaBei ya Kilo ya sukari napata zile nnazopenda mbili![]()
![]()
![]()
Tumshukuru Mungu kwa uzima shem wangu.Mie mzima my shemdarling
Ni ufisadi mkubwa sanaa kununua sukari juu ya 4000Hahahaa
Ebu jitahd wikend hii upate chai, inasaidia kwa baridi