Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Footballer
Footballer
Hapo sasaHiyoooooo ya wanawake,wanene wasomii mmmmmhhhhhhh vinaingiaje?
Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Anha kweli nme sha muona, asha rudiMbona yupo? Sema juzi kati ndo alipotea sijui alikuwa anatumikia adhabu?
Sasa bado Chumvi tu mambo yakae sawaHahahahaa
Wajuaji wengi sana
Shemdarling....Hiyoooooo ya wanawake,wanene wasomii mmmmmhhhhhhh vinaingiaje?
Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Njoo tunywe fanta apaSasa bado Chumvi tu mambo yakae sawa
Piga mzigo
Naogopa kipindu kipinduNjoo tunywe fanta apa
Naogopa kipindu kipindu
Manake nzi wanapenda sana fanta
Naogopa kipindu kipindu
Manake nzi wanapenda sana fanta
AaaahNa leo midamida km kawa Kitwangani yaani week end hii ni kustarehe kimwendokasi km farasi
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Hapo patakuwa Kibera - Kenya
KhaaaaAaaah
Siku zoteee!!!
Leo utulie uangalie copa America
Na bado unakomaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hatareee, halaf hapa adi nyuki washaanza kuja
Mi nataka twende na wewe sasaKhaaaa
Nawe kale Bata sasa
Hapo ni handeni...Hapo patakuwa Kibera - Kenya
Duuu kama KiberaHapo ni handeni...