amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Amina shemTumshukuru Mungu kwa uzima shem wangu.
Kesho usisahau kwenda Kwa ibada
Amina shemTumshukuru Mungu kwa uzima shem wangu.
Hapana.Wewe si shabiki wa mchezo tajwa?
Asante kwa kunikumbusha shem wangu. Ubarikiwe sana.Amina shem
Kesho usisahau kwenda Kwa ibada
AikambeAsante kwa kunikumbusha shem wangu. Ubarikiwe sana.
Supu ya mbuzi kwa chapati huwa iko njema sana, hadi unasahau kama kuna chai.Ni ufisadi mkubwa sanaa kununua sukari juu ya 4000
Bora ninywe nilivyovizoea tuuu
Supu inahusika sanaaa
Sio kila hapana ni kanushi...nitakupigia baadaye!Hapana.
Supu ya mbuzi kwa chapati huwa iko njema sana, hadi unasahau kama kuna chai.
![]()
![]()
Kosa? Mweusi sana.
Eti uliwahi kuwa na mademu wangapi? Nikajibu sina idadi kamili I need sometime kuweka kumbu kumbu sawa...nikaulizwa tena uliwahi kuwa na dem wa sehemu fulani nikajibu ndiyo...ila nikamwacha! Kwanini....nikajibu akili yake ndogo nimemtoa kwa mkopo acheze ligi za mchangani hadi ajielewe nimrudishe ligi kuu...interrogation ikaendelea weee kama saa mbili nzima! Sijui kwanini kuaply mapenzi siku hizi imekuwa sawa na kuomba kazi!....nawaza tu mwendokasi!
sitajali ashatembea na wangapi, kuwa nae maishani naona bahati....

Lite ya baridiii inatiririka kajashoooCheers shemdarling![]()
![]()
sitajali ashatembea na wangapi, kuwa nae maishani naona bahati....
Muda mwingine ni bora kutumia above principal...
Pia mtu anavyoamua kuwa na relation mpya ajue kuna mwingine kaachwaaa![]()
![]()
Hili nalo neno...kabla ya kumpata Prince Chuby wako ni lazima ukiss vyura wakutosha!

Aikambe

Yum! Yum!
Hahahaaa... Pole kaka.Eti uliwahi kuwa na mademu wangapi? Nikajibu sina idadi kamili I need sometime kuweka kumbu kumbu sawa...nikaulizwa tena uliwahi kuwa na dem wa sehemu fulani nikajibu ndiyo...ila nikamwacha! Kwanini....nikajibu akili yake ndogo nimemtoa kwa mkopo acheze ligi za mchangani hadi ajielewe nimrudishe ligi kuu...interrogation ikaendelea weee kama saa mbili nzima! Sijui kwanini kuaply mapenzi siku hizi imekuwa sawa na kuomba kazi!....nawaza tu mwendokasi!