Mi siwezi issue za kuweka moyoni, ukiniudhi ujue wazi ntakwambia huyo ni Mimi na sitabadilikaNafikiri unataka kukosea, hapa huwa utani mwingi labda unajisahau unavyonitaniaga.
Pia hatujafikia hatua ya kuvunjiana heshima, nilipoomba msamaha nadhani ingetosha
Mi nahisi anaogopaFanya utafiti kaka!
Damu ya mbwa inatumiwa kwenye Hehe Rituals.
Tembea vijijni uliza wazee watakuambia; mimi haya niliambiwa na wajukuu wa Mzee Adam Sappi Mkwawa na baadhi ya Wahehe wa ndani!
So i take their word to be affirmative.
Tumfungulie na kesi kabisa ya kuiba baiskeli ya watu
Basi huyu tumnyanganye baiskeli
......
Hahahahahahaha nimecheka sanaaaI dont know those guys!!! Heck they dont even represent me or my family
Niliuliza wazee wangu wakaniambia different story, and i take theirs.
Ni shiiiidaKasije kaka dondoka
Basi sawaaaaBut that doesnt mean wahehe uwa tunakula mbwa, ni ajali tuu hizo
Braza unapotoka hapo, tena mazima labda ujitetee kwa kuwa ulikula
Ila kusema wahehe tunakula noooopeeee!!!
Safi sana, mi napenda watu smart na wanaojiongeza namna hii
Keep it up
Nyani???Mzee Sappi alikuwa ni chifu wa Wahehe!
Japo kuna vitu vinakuzwa, lakini mbwa walikuwa wanatumika kwenye makafara!
Pitia historia, haya mambo yapo kaka.
Nlishawahi kuona Wamatengo wanakula nyani.
Mkuu ladha ikoje!Haahaaaa!
Macalos yalikuwa ni mengine marefu sana yameunganishwa!
Wahuni wa stendi walikuwa wanasema Macalos Kumbakumba!
Hata kama wanakula sio wote.... Itakuwa nyie hamli ndio maana hujuiHuyo Chifu alikwambia wahehe wanakula mbwa!!?
Basi ukipata picha tuwekee hapaHaahaaaa!
Macalos yalikuwa ni mengine marefu sana yameunganishwa!
Wahuni wa stendi walikuwa wanasema Macalos Kumbakumba!
Miaka ya zamani kama mwaka gani?Hapana, siyo Chifu ni wajukuu.
Wanasema damu ya mbwa ilitumika kwenye kafara zao na ibada za kimila.
Sasa hata wanajeshi wa Chifu Mtwa Mkwawa walikula mbwa kuongeza wakati wa vita(Agility).
Lakini mimi miaka ya zamani nimeshuhudia watu wakila mbwa.
Yeah kama ulikula usi generalize kwamba wahehe woteHaahaaa!
Kwanini nijitetee wakati mbwa hana ubaya wowote?
Kwani kuna tofauti gani kati ya mbwa na ng'ombe?
Naomba nichukue nafasi hii kumtetea Cobblepots sio yeye aliyesema kuwa wahehe wanakula dog, mi toka mdogo nimesikia hiyo kitu hivyo sio kitu kipya.Yeah kama ulikula usi generalize kwamba wahehe wote
If ur proudly ate it hakuna matata
Lakin unaharibu kusema wahehe wanakula kwa kuwa
1.ulikula mwenyewe
2. Uliwauliza kina mkwawa
There z no reason to do that
Pole sanaJaman nalala
Mood yangu haija kaa furesh kdogo now