Makapuku Forum

Fanya utafiti kaka!
Damu ya mbwa inatumiwa kwenye Hehe Rituals.
Tembea vijijni uliza wazee watakuambia; mimi haya niliambiwa na wajukuu wa Mzee Adam Sappi Mkwawa na baadhi ya Wahehe wa ndani!
So i take their word to be affirmative.
I dont know those guys!!! Heck they dont even represent me or my family

Niliuliza wazee wangu wakaniambia different story, and i take theirs.
 
I dont know those guys!!! Heck they dont even represent me or my family

Niliuliza wazee wangu wakaniambia different story, and i take theirs.

Mzee Sappi alikuwa ni chifu wa Wahehe!
Japo kuna vitu vinakuzwa, lakini mbwa walikuwa wanatumika kwenye makafara!
Pitia historia, haya mambo yapo kaka.
Nlishawahi kuona Wamatengo wanakula nyani.
 
Hapana, siyo Chifu ni wajukuu.
Wanasema damu ya mbwa ilitumika kwenye kafara zao na ibada za kimila.
Sasa hata wanajeshi wa Chifu Mtwa Mkwawa walikula mbwa kuongeza wakati wa vita(Agility).
Lakini mimi miaka ya zamani nimeshuhudia watu wakila mbwa.
Braza unapotoka hapo, tena mazima labda ujitetee kwa kuwa ulikula

Ila kusema wahehe tunakula noooopeeee!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…