Makapuku Forum

Well,
Tulikula sana tukijua ni mishikaki ya mbuzi.
Hadi yule mzee alipokamatwa na wanakijiji tukajasikia ilikuwa ni mbwa!
It was not that bad!
Kwanza nlijua wewe si mhehe

Sasa hapo mlilishwa mbwa kwa sababu ya uzembe wenu alaf eti unasema wahehe uwa wana kula

Lol!!!

Ulikuwa wewe na wenzio, but mi mda nlo ishi iringa sja ona that case
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…