Makapuku Forum

Hahahaha ndo mnatuandama hivi. Sasa inatakiwa walimu waombe ajira kama wengine wanavyoomba.

Ajira mwezi wa saba hapo zinatoka wewe
 
Huu sasa ujinga kuna watu rundo tumehitimu vyuo miaka kibao bila ajira......wao wana uhakika wa ajira lkn kuchelewa kidogo TU full povu
THAT'S WAPUUZI
............
 
Hahahaha ndo mnatuandama hivi. Sasa inatakiwa walimu waombe ajira kama wengine wanavyoomba.

Ajira mwezi wa saba hapo zinatoka wewe
Nasikia kichefuchefu sikujua km walimu vichwa maji kiasi hiki ....wenzao tumekaa miaka kibao bila ajira wao ht mwaka bado full makelele
Wakalime matikiti wasitusumbue

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…