Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ooh pole,nimefurahi unaendelea vizuri sasaNilikuwa mgonjwa Leo niko vizuri kidogo
Ooh pole,nimefurahi unaendelea vizuri sasaNilikuwa mgonjwa Leo niko vizuri kidogo
Asante mamyOoh pole,nimefurahi unaendelea vizuri sasa
Pastor hodari sana kwa kuita majina,Jimena wap my sissy
Taifa hili unalijenga,kanakuja kajanja kanamegua tofali na kukimbia nalo kusikojulikana..
Ha haaah nitake radhi chief....Marhabaaa![]()
![]()
Salama mzee..za kutwa?Habari za jioni mkuuuu
Njema mkuu karibu chaiSalama mzee..za kutwa?
Njema brou karibu chaiiiMmeshindaje makapuku
Njema bossMmeshindaje makapuku
BitozView attachment 352207
Mtag mwenye viatu vyake kama unamjua
Mbona Kama nimesikia ni vyako???
Kwani sio vya All stars??
All starKwani sio vya All stars??