Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Pambana kijanaBize kichizi kusaka mawe
........
Pambana kijanaBize kichizi kusaka mawe
........
umeona eeh??Pasta dp Hiyo inanichanganya saana
Na mimi skujua kwamba majukum ya kila mkoa yana fanana, na kila tyme hufana
Hlo ckujua
Almost paradisoHuko mikoani ni Paradiso?
Almost paradiso
Hivi mikoani ndo wapi?Huko mikoani ni Paradiso?
Hebu nitumie Hiyo....pichaShida ni nin hasa?
Mkuu majukum siyo kitu universalHaaahaaaa!
Itabidi nitafute nauli nije kwneye hiyo mikoa isiyo na majukumu.
Hata mi ndo nasikia leo hiiHongera sana mkuu,
Mimi sikujua kwamba hapa Tanzania tuna mikoa isiyo na majukumu!
Zikipatikana tugawaneBize kichizi kusaka mawe
........
Hivi mikoani ndo wapi?
Na wapi sio mikoani? (Au ile kauli ya up country!)
Nme tumia tafsir ya mikoani nje ya dsmPahala popote nje ya mkoa uliopo ndipo mikoani.
Sema Suu nikuongeze mengine...Je wewe ni maskini?
Je uko karibu na kupotea?
Je wajua ujumbe uliwahusu watu gani?
Isaya 5:11
Ole wao waamkao asubuhi na mapema wapate kufuata kileo, wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao
Hata mi ndo nasikia leo hii