Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Nambie kakaIko njema.
Nambie kakaIko njema.
Mkuu nimependa Avatar yako.Hii ni leseni ya wazanzibar, halafu ni ulevi wa kila aina, jipige selfie ukiwa chakari ulete ushahidi humu dadake
Kuimiliki tu ni ushahidi tosha.... We umeshindwa hata kuweka ushahidi wako.Hii ni leseni ya wazanzibar, halafu ni ulevi wa kila aina, jipige selfie ukiwa chakari ulete ushahidi humu dadake
Ulikuwa busy na kaz ee!!?Niko poa sana mkuu.
Mishe niaje?
Hapo safiIko njema.
Asante hata yako iko poa, karibuMkuu nimependa Avatar yako.
Leo atletico lazima wakae [emoji460] dakika 90 au sio?Nambie kaka
Leo tuna hakikisha tuna walaza mapeeemaaLeo atletico lazima wakae [emoji460] dakika 90 au sio?
Teh teh teh, Huyo ni nani mkuu?Asante hata yako iko poa, karibu
Kuimiliki tu ni ushahidi tosha.... We umeshindwa hata kuweka ushahidi wako.
Unajuaje kuwa mi sio mzenji??
Sana ili wanafiki walioenda kwa mkopo wabaki na aibu yaoLeo tuna hakikisha tuna walaza mapeeemaa
Kwanini kuuliza habari za wanadamu!Teh teh teh, Huyo ni nani mkuu?
Ulikuwa busy na kaz ee!!?
Safi mi uwa nakimbia some timesNdiyo ukubwa mkuu.
Hauwezi kimbia majukumu.
Bali kupambana nayoNdiyo ukubwa mkuu.
Hauwezi kimbia majukumu.
Teh Teh sawa ndugu.Kwanini kuuliza habari za wanadamu!
Uliza habari za Yesu mkuu
Safi mi uwa nakimbia some times