Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Yap ni mda wa kula sasaOkay sasa umeshajua
Yap ni mda wa kula sasaOkay sasa umeshajua
Ndio........ Ni kuanzia muda huu mpaka zitakapoishaYap ni mda wa kula sasa
GudNdio........ Ni kuanzia muda huu mpaka zitakapoisha
Tunakusubiri.....Gud
Najaa
tupo usijali tunaangalia soga tu, wengine tunapenda kupita kimya kimyaTunakusubiri.....
Hivi hawa raia leo wako wapi? Naona tumebaki wenyewe tu[emoji134] [emoji134]
Kumbe mpo basi sawaaa.........tupo usijali tunaangalia soga tu, wengine tunapenda kupita kimya kimya
Watakuja tuuTunakusubiri.....
Hivi hawa raia leo wako wapi? Naona tumebaki wenyewe tu[emoji134] [emoji134]
Mpaka wakifika zile nyama tutakuwa tumeshamaliza, hatusubiri mtuWatakuja tuu
Wana itendea haki wikend
Ngoja wapumzke naoMpaka wakifika zile nyama tutakuwa tumeshamaliza, hatusubiri mtu
Hahahahahaha kweli aisee....... Nami ngoja nikaimarishe yanguNgoja wapumzke nao
Weekend
Waimarishe na ndoa zao uko
Haya go, usje uka achwa ukaanza kuleta threads zako MMUHahahahahaha kweli aisee....... Nami ngoja nikaimarishe yangu
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mishe zinatupoteza, japo kuna muda nlikuwa nawachabo na SheznTunakusubiri.....
Hivi hawa raia leo wako wapi? Naona tumebaki wenyewe tu[emoji134] [emoji134]
HahahaMishe zinatupoteza, japo kuna muda nlikuwa nawachabo na Shezn
Ndio chakula cha usiku au?Yap ni mda wa kula sasa
Sema mkuuHumu ndani
Humu ndani
Tupo sana tunatafta pa kuanziaKumbe mpo basi sawaaa.........
Ya kwako vpNgoja wapumzke nao
Weekend
Waimarishe na ndoa zao uko