Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kila mtu anapenda Bata.... Mi nilitaka kuhakikisha natumia hiyo njiaMay be nme elekweka vbaya
I meant unaeza kimbia majukum ya leo , uka pata mengne ambayo you can handle huko uendako
Kila mtu anapenda Bata.... Mi nilitaka kuhakikisha natumia hiyo njiaMay be nme elekweka vbaya
I meant unaeza kimbia majukum ya leo , uka pata mengne ambayo you can handle huko uendako
Basi sawaaaAlaf pia neno majukum lina subjectivity, ina bid usiliweke kama just neno moja, lina beba vtu vingi na maana nyingi
MweeerKila mtu anapenda Bata.... Mi nilitaka kuhakikisha natumia hiyo njia
Mkuu majukum siyo kitu universal
Na hutofautiana
Uzito, Ugumu, Na aina
Unaweza uka kimbia majukum ya leo magum , ukaenda kutafta mengne rahis
Simple tuu mbona
LianzisheView attachment 351697
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Tuko pamojaThat is not in dispute!
Again, i affirmatively concur!
I totally agree with you my friend.
Beauty in the eyes of the beholder; under a relative periphery kuna majukumu ambayo ni rahisi.
But again yatabiki kuwa majukumu, hata kama ni yako pekee na ni madogo kama punje ya haradari.
Ni nyama ya nn hiyo!!?View attachment 351698
Karibu sana
Sasa bado kitwanga tu....Lianzishe
Kuku mkuuNi nyama ya nn hiyo!!?
AaahKuku mkuu
We ulidhani nini kwani??Aaah
Fureshiiii
Alaf pia neno majukum lina subjectivity, ina bid usiliweke kama just neno moja, lina beba vtu vingi na maana nyingi
Tuko pamoja
Na pia yanaweza kukimbiwa vile vile
Nlikuwa nashndwa kujuaWe ulidhani nini kwani??
YesKwa minajili ya hoja yako, naweza kusema Ndiyo.
No hard feelings bro!
Okay sasa umeshajuaNlikuwa nashndwa kujua