Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Je wewe ni maskini?View attachment 351671
Naomba unisomee
Je uko karibu na kupotea?
Je wajua ujumbe uliwahusu watu gani?
Isaya 5:11
Ole wao waamkao asubuhi na mapema wapate kufuata kileo, wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao