Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,107
Ya ushahidiUnataka picha ya kitwanga?
Ya ushahidiUnataka picha ya kitwanga?
Mambo ya mpunga hayooMilele Amina
Ila leo naenda kuchukua mke wa jirani hivyo naitwa asha Kwa muda na hili shungi nilikovaa ni balaaaa
Karibu Shem
Uwafunde wakavumiliane na kila mmoja aache tabia za wazazi wake na ndiposa watengeneze tabia yao wenyewe huku wakimcha Mungu maana KUMCHA Mungu ni chanzo cha hekima yoteMilele Amina
Ila leo naenda kuchukua mke wa jirani hivyo naitwa asha Kwa muda na hili shungi nilikovaa ni balaaaa
Karibu Shem
Umetaka jambo gumu...lakini ushahidi anao Mungu kuwa kitwanga stumiiYa ushahidi
Umetaka jambo gumu...lakini ushahidi anao Mungu kuwa kitwanga stumiiYa ushahidi
Mambo ya mpunga hayoo
Mpunga bongo unaheshima yakeMambo ya mpunga hayoo
Wii usifanye mchezo na mpungaMambo ya mpunga hayoo
Inshallah sheikhUwafunde wakavumiliane na kila mmoja aache tabia za wazazi wake na ndiposa watengeneze tabia yao wenyewe huku wakimcha Mungu maana KUMCHA Mungu ni chanzo cha hekima yote

Nitake radhiInshallah sheikh![]()
Singida pande gn shemWii usifanye mchezo na mpunga
Nimeufungia safari from Nyanda za juu kusini hadi Singida
Wii usifanye mchezo na mpunga
Nimeufungia safari from Nyanda za juu kusini hadi Singida
Poa sana mkubwa pasna na shaka pande hizi..Wewe vp?Iko njema sana kaka. Mzima wewe?
Nimefurahi kusikia hayo kutoka kwako...Mie mzima wa afya njema
Kama huwezi kuprove kaa kimya....Umetaka jambo gumu...lakini ushahidi anao Mungu kuwa kitwanga stumii
Hahaha dada kitwanga unaweza ku prove kuwa wew ndiye!!!Kama huwezi kuprove kaa kimya....
Acha ambao wakati unaturuhusu tujiachie
Mtumish nakusalimia..Cobblepots nakusalimu
Amen kaka, habari za wapi?Mtumish nakusalimia..
Mkuu pande zile zetu tu...Mambo yanaendaje upande huo lakin baba mtumish?Amen kaka, habari za wapi?