Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,288
Mungu mwema leo naangalia tu mazingira ya home kakaMkuu pande zile zetu tu...Mambo yanaendaje upande huo lakin baba mtumish?
Mungu mwema leo naangalia tu mazingira ya home kakaMkuu pande zile zetu tu...Mambo yanaendaje upande huo lakin baba mtumish?
Aisee safi sana mkuu na kabaridi haka nawaonea huruma kuku jinsi watakavyo katishwa uhai wao leo na hivi uko hme ni bandika bandua tu..Mungu mwema leo naangalia tu mazingira ya home kaka
Jitahidi usitwangike leo kesho ibada kuuMkuu pande zile zetu tu...Mambo yanaendaje upande huo lakin baba mtumish?
Hahahahahah kwa kiasi hata Magufuli hajakataza yeye hapendi ile hadi unashindwa kujieleza..Jitahidi usitwangike leo kesho ibada kuu
Baridi ikizidi ntaenda kuleeeAisee safi sana mkuu na kabaridi haka nawaonea huruma kuku jinsi watakavyo katishwa uhai wao leo na hivi uko hme ni bandika bandua tu..
Ama kwa mromboo kabisa mkuu..Miss sana maeneo yale asee...Baridi ikizidi ntaenda kuleee
Inapendeza leo tuko jukwaani mchanaSalama mkuu wangu.
Hahaha ku mbuzi chomaaaaaaAma kwa mromboo kabisa mkuu..Miss sana maeneo yale asee...
Ninashukuru hiyo kitu haipandi kwangu, watu wangepata taabu sana kipigoHahahahahah kwa kiasi hata Magufuli hajakataza yeye hapendi ile hadi unashindwa kujieleza..
Hatare sana mkuu..Mnanunu mbuzi mzima mnasema Mbavu na miguu yote choma, Viungo vya ndani na kichwa chemsha ije supu hapa na hapo ni saa 3 asubuhi...Dah hadi mmamilze zoezi ni saa 1 usiku...mko tasiii..Hhahahaha old good daysHahaha ku mbuzi chomaaaaaa
Shukuru sana kwa hilo Mtumish maana kama ingekuwa inapanda nadhani usingekuwa unajulikana kama Pastor hapa yamkini ungekuwa unaitwa Johnwalker..Ninashukuru hiyo kitu haipandi kwangu, watu wangepata taabu sana kipigo
Inapendeza leo tuko jukwaani mchana
Hahaha dada kitwanga unaweza ku prove kuwa wew ndiye!!!
Nipo.. .. Habari ya weekend
Nilijaribu nikiwa teenager nikashindwa, halafu nilikuwa korofi balaa, thank God, sikuweza kuendeleaShukuru sana kwa hilo Mtumish maana kama ingekuwa inapanda nadhani usingekuwa unajulikana kama Pastor hapa yamkini ungekuwa unaitwa Johnwalker..
KweliShukuru sana kwa hilo Mtumish maana kama ingekuwa inapanda nadhani usingekuwa unajulikana kama Pastor hapa yamkini ungekuwa unaitwa Johnwalker..
Hii ni leseni ya wazanzibar, halafu ni ulevi wa kila aina, jipige selfie ukiwa chakari ulete ushahidi humu dadakeView attachment 351663
Cc Fake pastor Jambilo