EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,417
Kijana una Wenge sana.HEY...NYIE, WE ARE TIRED OF YOU!
Kijana una Wenge sana.HEY...NYIE, WE ARE TIRED OF YOU!
Mimi nimepata uje kuchukuaSukari inatuzungusha my kaks
Huku na tiririka na 4G kama vile sina hakiliKijana una Wenge sana.
Ngoja nikujeMimi nimepata uje kuchukua
Napendaga msivyovaa sarawiliHe hee niko nae hapa. Tutakuja usikonde

Wahi niko cleopatra hapaNgoja nikuje
Kwema kabisa kaka, vipi kwako?wakuu wa kaya kwemaa?
Kiaje tena kiongozi??Kijana una Wenge sana.
Akikupa nyingi nami unipitishie hapa kidogo ya kuungia leo jioniNgoja nikuje
Hahahaaa.... Mimi simo.
Dada njoo huku uchukue sukari......!Sukari inatuzungusha my kaks
Jamaa alibakia kushusha machozi na kuumia moyo, alijua yalikuwa mapenzi ya kweli, kumbe ni mapenzi ya kitimoto & bia na mitoko ..
nawasalimu wote
Ndio wapi mkuu.....Wahi niko cleopatra hapa
Njoo na sukare ipo, tapatia wewe baadha ya hudhuma.Basi nitakuja na Ngabu tukufanyie maombezi hayo
Naam kaka. Nambie!Kaka emmyguy
Huko imefika sh ngapi kilo?Dada njoo huku uchukue sukari......!
Na uiandae kabisaNjoo na sukare ipo, tapatia wewe baadha ya hudhuma.
KwemaNaam kaka. Nambie!
Mkuu kuna sukari ya bure ya MaguHuko imefika sh ngapi kilo?