Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Shkamoo broKwani ni lazima iwe usiku?
Hahahaaa...
Mbona ulipoteana sana!!?
Shkamoo broKwani ni lazima iwe usiku?
Hahahaaa...
Safi kaka. Mambo yanaenda lakini?Sema emmy
Marhaba kijana. Mzima wewe?Shkamoo bro
Mbona ulipoteana sana!!?
Mzima wewe?Shikamoo kaka
Sehemu kama hizo, ungetupia T-shirt ya man.u au Arsenal red, jeans na kiatu cha ngozi....etc.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Sijakuelewa vizuri.Huku na tiririka na 4G kama vile sina hakili
Una wivu hadi kwenye ndoa za watu?Kiaje tena kiongozi??
Mzima wewe?Jamaa alibakia kushusha machozi na kuumia moyo, alijua yalikuwa mapenzi ya kweli, kumbe ni mapenzi ya kitimoto & bia na mitoko ..
nawasalimu wote
Pamoja sana kaka.Kwema
Tatizo sikuambiwa mapema km ni full vumbi ...jezi ya man utd nimeiacha Kigoma TownSehemu kama hizo, ungetupia T-shirt ya man.u au Arsenal red, jeans na kiatu cha ngozi....etc.
Iko njema sana kaka. Karibu.Habari za mchana?.. waungwana
Nakumiss hadi naumwa apa
Furesh kaka , uliniachia youngblood ni msumbufu sana kwa kweli afadhal umerudMarhaba kijana. Mzima wewe?
Majukumu sometime yananiweka kuwa busy sana, ila nipo sana. Nipatapo nafasi mda mwingi utanikuta humu. Mambo mengine vipi?
Hahaha![]()
nipo mkuu,
Sasa ulipotelea wapi?