Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kwema, za mchoko?
nzuri kiasi chake mkuu, vipi kwa upande wako
Kwema, za mchoko?
Kabisa, kama uonavyoasante joh!! kwema lakin
mia mia mkuu...Tupo kama kawaida yetu mkuu.
Poa brother.mia mia mkuu...
Kabisa, kama uonavyoasante joh!! kwema lakin
Hahaha ulikuwa jijini Manchesternipi kaka, nimetoka kukamilisha dili la Mourinho.
baridaaa...Kabisa, kama uonavyo
Aje mkuunzuri kiasi chake mkuu, vipi kwa upande wako
Hiyo ni yangu tu.43k haiko mbali...nani kuotea?
Hongera mkuu kwa kuamua kutumia gahawa.
Tuliyozoeya kunywa chai tunaisomba namba.
3400Huko wanauzaje 1kg
Yaap mkuu...nilikuwa jijini Manchester lakini ya hapa KitundaHahaha ulikuwa jijini Manchester
Wapi wewee, wakati umeachwa..
Njoo kwenye chama chetu tu cha CHAPUTA..
Ili wapangaji wateleze bafuni

Hahahaha.
Aje mkuu
hahaha Jimena huwa anazioteagaHiyo ni yangu tu.