Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,107
Ndio sasa ndo wajifunzeChama walichokipigia Kura ni mbele Kwa mbeleeee
Ndio sasa ndo wajifunzeChama walichokipigia Kura ni mbele Kwa mbeleeee
Mlale salama kapukuz
saizi??? ....bado! Waiter Lite ya mouto tafadaliWanaosoma ni watoto sio wazazi, makosa ya mzazi yasifanye ukamhukumu mtoto asie na hatia,Ni sawa lakini kama madawati pekee bila watu kutambua umuhimu wa elimu hayatasidia kijiji kuendelea ,sasa kama wanakijiji wanashinda kwenye urabu hayo madawati yatakuwa na kazi gani.
Yani kuna baadhi ya vijiji Tanzania mtu haoni faida kabisa ya kumpeleka mtoto shule so hata kama ukipeleka masofa badala ya madawati hawatasoma ng'o, kwasababu hawajui nini faida ya kusoma.
Peterchoka
Asante wifi... Na kwako piaKukesha kwema wapenzi,
maana maandiko yanesema kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa..............
Wazazi wengine hawaoni faida ya kumpeleka mtoto shule.Wanaosoma ni watoto sio wazazi, makosa ya mzazi yasifanye ukamhukumu mtoto asie na hatia,
Shule ziwekwe madawati, ubao uwe mzuri na walimu wenye taaluma hayo ndo majukumu ya serikali,
shwari bro, tupo!Poa brother.
Mambo vipi
We mutu ya kongo umekuya na bolingo kwa makupuku?![]()
![]()
![]()
saizi??? ....bado! Waiter Lite ya mouto tafadali
Poa brother.shwari bro, tupo!
Serikali iwawajibishe..... Ndomana kunawekwa serikali za mitaa, ili kuwadhibiti wazazi kama haoWazazi wengine hawaoni faida ya kumpeleka mtoto shule.
Wengine wanafika mbali kabisa na kuamua kuwafungisha ndoa.
Unapozungumzia maisha ya mtoto lazima wazazi watahusika tu.
Nambie tambiPeterchoka
Poa za wewe?Jimena mambo!
baridi!Poa brother.
Ngoya nipige kitwanga ni relax. Kesho ntaimba Kala BoeingWe mutu ya kongo umekuya na bolingo kwa makupuku?
Hebu weka hiyo avatar hapa nikamjengee mama hiyo nyumbaWe mutu ya kongo umekuya na bolingo kwa makupuku?
wakiamka me ndo nalala si unajua kazi yangu ya ulinzi![]()
Subiri waamke
Hii mida yetu sisi mabazazi, for sure watoto wote wamesha lala mida hii.wakiamka me ndo nalala si unajua kazi yangu ya ulinzi
