Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,571
Nawasalimia WOTE
“..... the opposite is also true. Today is Friday—make it an easy weekend, mdau hapa wikend ni mwendo wa kurahisisha mambo. Mke mwema anatoka kwa Mungu, naye atakupa wa kufanana naye.Hakuna mke mwema mwenye app ya Jf..
Mkuu Obe , sijakuona hapa Masasi ingawa nilikuwepo hapa kwa siku mbili tatu, muda wa kuwa kwenye mji huu umeisha.Ebhaneeeee, upo mitaa hiyo mdau. Hapo jirani na usalama nakuwepo sana. Nitakuibukia one time, tugonge vinywaji vya punguzo
Soma vizuri ueleweKwamba walio jf wanaishi kisiwa cha Epstein au hawako mtaani kwenu!
Na ukitumia Web, inakubali huwa natumia sasa.Ila naona ukitumia wifi haiitaji vpn kuna thread niliiona habari na hoja nimejaribu na imekubali
Asante sana mdau kwa salaam. Nakusalamia sana piaSalaam watu wa Mungu
upo good kaka?Nawasalimu wote Shunie Espy_ Seran leo dada win-one ShesRise_1 Obe makaveli10 moudgulf Vincenzo Jr dosho12
Shem shem ulikua wapiNawasalimu wote Shunie Espy_ Seran leo dada win-one ShesRise_1 Obe makaveli10 moudgulf Vincenzo Jr dosho12
😆 nilipigwa na kitu kizito sana ShesRise_1Shem shem ulikua wapi
Me mzima,,, Nina hakika wote tuko salamaNawasalimu wote Shunie Espy_ Seran leo dada win-one ShesRise_1 Obe makaveli10 moudgulf Vincenzo Jr dosho12
Weekend hii ungependelea kuspend wapi?Me mzima,,, Nina hakika wote tuko salama