amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Ila na wananchi WA hako kakijiji wanatwanga vitwanga balaaaaHii ndiyo Tanzania yetu.
Inasikitisha sana.
Nadhani nao ni source ya umaskini kijijini Kwao..
Ila na wananchi WA hako kakijiji wanatwanga vitwanga balaaaaHii ndiyo Tanzania yetu.
Inasikitisha sana.
Wengi mnafuata pa kutokea/pesa tu.....wachache wanafuata malavidaviHahaaa,kweli wanawake ni Wajasiri.
Wanawake /wadada wanapenda kuingia Kwa ndoa while wanaume/wakaka wanakimbia/wanaogopa
Ni ndoto karibu ya kila msichana kuolewa...Hahaaa,kweli wanawake ni Wajasiri.
Wanawake /wadada wanapenda kuingia Kwa ndoa while wanaume/wakaka wanakimbia/wanaogopa
Hilo nalo pia ni tatizo wananchi wengi hawafanyi kazi wanategemea serikali itafanya kila kitu.Ila na wananchi WA hako kakijiji wanatwanga vitwanga balaaaa
Nadhani nao ni source ya umaskini kijijini Kwao..
Hapana wengi tunaupendo wa dhatiWengi mnafuata pa kutokea/pesa tu.....wachache wanafuata malavidavi
.......
Wanaume hamna ndoto za kuoa or????Ni ndoto karibu ya kila msichana kuolewa...
Hii ndio Tanzania na wananchi wake...Hilo nalo pia ni tatizo wananchi wengi hawafanyi kazi wanategemea serikali itafanya kila kitu.
Mi sifeki kitu coz najiamini...I'm smart,I've vision japo mfukoni hapasomi sana but lazima demu afungulie getiHapana wengi tunaupendo wa dhati
Shida inakuja pale jamaa kakutokea badala awe mkweli about his real life yeye anafake kila kitu
Hapo lazima nimuoneshe kaziiiiiiii
Wataisoma nambaKatika harakati zangu za Leo, nimekutana na hali hii katika shule ya msingi....
Cha kushangaza huku kuna rasirimali za misitu[emoji17]
View attachment 351231
Hakunaga fomulaWengi mnafuata pa kutokea/pesa tu.....wachache wanafuata malavidavi
.......
Lakini madawati serikali inabidi inunue ndomana kodi inalipwaHilo nalo pia ni tatizo wananchi wengi hawafanyi kazi wanategemea serikali itafanya kila kitu.
Hakunaga fomula
Haswaaaa
Chama walichokipigia Kura ni mbele Kwa mbeleeeeWataisoma namba
Ni sawa lakini kama madawati pekee bila watu kutambua umuhimu wa elimu hayatasidia kijiji kuendelea ,sasa kama wanakijiji wanashinda kwenye urabu hayo madawati yatakuwa na kazi gani.Lakini madawati serikali inabidi inunue ndomana kodi inalipwa
Nawe pia mamyMlale salama kapukuz
Mwanamke kuolewa ni bahati*Wanaume hamna ndoto za kuoa or????