Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Mahakama Kuu ya Kanda ya Morogoro imewahukumu kifungo cha maisha washtakiwa wanne kwa kusafirisha bangi (viroba 16).
Waliotiwa hatiani ni Silvanus Julius, (49) mkazi wa Tambuka Reli - Mikumi, Joyce Gidion (49) mkazi wa Yombo Vituka Dar es Salaam, Sophia Samweli (45) mkazi wa Mogo - Mikumi na Frolian Magoha, (36) mkazi wa Idege -Mikumi.