Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero—Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake.
The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo”
Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko Tapalpa (Jalisco) nchini Mexico,
Lokesheni yake ilitambulika mara tu baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake “Guadalupe Moreno Carrillo”
Alivamiwa na kikosi maalumu cha jeshi la Mexico, na kuuawa.
Wahuni waliwalinda sana MaBosi zao, tena kwa uaminifu wa hali ya juu bila ya USNITCHI wowote ule.
Maanguko yao yametokea vilevile kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Adamu (EVA) au Mzee wetu Samsoni (DELILA).