😂😂Anaweza kuwa kaenda kumuona baby wake mpya😆
Nikija kaka lazima nikutafteNitakuwa kwa muda mrefu.
Poa poaNikija kaka lazima nikutafte
Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu
Mimi sipambani.
Unapambana kuvuta pumzi shindiiMimi sipambani.
Sipambani shindii. Inajivuta tu yenyewe.Unapambana kuvuta pumzi shindii
Kuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia.Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu
Kweli kabisa nyingi tu najikuta naziona baada ya kuperuzi uzi woteKuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia.
Sasa bora wewe huwa unapitia🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kweli kabisa nyingi tu najikuta national baada ya kuperuzi uzi wote
He heNusu kilo ya nini poker😋