Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,820
- 83,827
Kwakweli itakuwa vizuri zaidi☺️...konda asiwe mang'aa tu akapotea nazo kama mwaka ule namtumia Shunie korosho afu konda wa basi la Wifi Naye (wanapaki Sudan) akayeya nazo, nusu debe. Nilisikitika sana.
Au nikutumie wewe ili umfikishie na kifungashio cha ziada?