Makapuku Forum

Sawa ntafanya hivyo pasipo na shaka😅 sasa ataipataje! Au ndio mambo ya soft copy😆
Hakuna soft copy hapo mkuu Seran ni mwendo wa kumtafuta vichochoro vyote vya Mwanza kama hajaonekana unahamia Shinyanga then Dodoma ikibidi unakuja na ndoo yako mpaka Dar, kama hujamuona utaacha ndoo na mazaga zaga yote hapa home kisha tunaenda kumtafuta😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…