Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Na wewe useme uko wapi?Kwakweli watuambie🤣🤣
Na wewe useme uko wapi?Kwakweli watuambie🤣🤣
Hahahaha,sawa MkuuMkuu, muache atulie, nimechoka kubembeleza.
Jamani, wapi nimesema nilikuwa nabembeleza?Huko pasipojulikana ulikuwa unambembeleza nani?
Kabisa mkuu, usikute ndio yale yaNa wewe useme uko wapi?
...mimi niko hapa, namalizia nije niweke kambi hapa leo usiku wa mananeMko wapi ?
...mnabadilisha vituo kama maafisa usafirishaji.Kabisa mkuu, usikute ndio yale ya
"Nilipokuwa anatoka, nae nyuma anatoka:
Nikienda nzega, ye nanjilinji
Nikienda bukoba, ye mpitimbi
😄🤣
Nipo hapa🤣Na wewe useme uko wapi?
Si umesema umechoka kubembeleza!Jamani, wapi nimesema nilikuwa nabembeleza?
Sikupatii picha ukiwa na mimba.. 😄🤣 una ningwa sana wewe 😄🤣Si umesema umechoka kubembeleza!
Hebu sema, umechoka kumbembeleza nani?Sikupatii picha ukiwa na mimba.. 😄🤣 una ningwa sana wewe 😄🤣
Nilikuwa naotaHebu sema, umechoka kumbembeleza nani?
Sawa, ndoto njema.Nilikuwa naota
AminSawa, ndoto njema.
Usiku wa manane ndio huu mbona huonekani uncle?...mimi niko hapa, namalizia nije niweke kambi hapa leo usiku wa manane