Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Auntie wewe ni mtaalamu wa kutafuta vilivyopotea. Nitafutie tu maka wangu.



atakuja tu auntie
Auntie wewe ni mtaalamu wa kutafuta vilivyopotea. Nitafutie tu maka wangu.



atakuja tu auntie
auntie kaja maka wako
Kama upepo wa hidaya 😂Ila cocsunavyoibukaga
Nilikuwa nimemuweka kwenye darubini namzoom tu, sasa kama ananimisi hivi shunie jiandae tukapeleke posa kabisa.
anatupigia kelele
Ila cocsunavyoibukaga




naibukaa pale penye special occasions?!! WoiiiiiihKama upepo wa hidaya![]()



jamaniii watu mna nn nyie na Hidaya? juzi huku mtaani kuna mtu ananambia "wee kiumbe una hatar hata kimbunga Hidaya hakifikii" nkamjibu sio Hidaya hata Latiffa hakioni ndani.




Penzi letu la maonesho a.k.a penzi tangazo, tukipeana namba nani atajua tunadate, tukimisiana tunakuja kusakana makapuku, ili iwe tangazo kila mtu ajua Makaveli10 nimekamatika na Atoto 🤣Ebu fanya mpeane no bwanahanatupigia kelele
Akili zako hazijawahi kuwa na akili. 😂🤣jamaniii watu mna nn nyie na Hidaya? juzi huku mtaani kuna mtu ananambia "wee kiumbe una hatar hata kimbunga Hidaya hakifikii" nkamjibu sio Hidaya hata Latiffa hakioni ndani.
Alichekaa yulee mwehu,![]()
Heeeh!! Bebe walikuiba?Nipo ☝️
🤣🤣🤣🤣auntie kaja maka wako
Tulia wewe🤣Ebu fanya mpeane no bwanahanatupigia kelele