Nimecheka vibaya....
Cocs anamficha kama mihadarati




nimekamatika mdogo enu, mnajua sio nimeangukia, yaan nimetua "tiiiii"Aliyekumbukwa humu naniiiii we mzeee zaidi ya cocs kumuita lee na me kumsaidia kumuitiaaa we ukikumbukana na swahiba wakooo makiii inatoshaa![]()





Oyaaaaaa ankooooo....aunt yangu kaacha simu kaenda kuburudika furahiday, ataiwasha itakapowaka
Hapana.😂😂😂 upo?
LalaHapana.
Kalala saivi!
Weeeh huyo hajawahi kulala mapema hivi. Kuna mahali kabanwa![]()
....aunt yangu kaacha simu kaenda kuburudika furahiday, ataiwasha itakapowaka
sema kwelii mahi shoggs? Mbona naogopaaa!!!


unataka picha ya muhusika muombe mwenyewe
upo?