cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,182
Aloooooooooh![]()



nyie nimetekwa, natamani Duniani tubaki wawili tyuu mie na yeye.Aloooooooooh![]()



nyie nimetekwa, natamani Duniani tubaki wawili tyuu mie na yeye.Thubutuuuuuna tena kibonge mweusiiii
ukweliii ni upi sasa
![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka vibaya....auntie mume wa cocs kama wa mtani wako hataki awe active jf yaani nikimention hapa nitakula kichambo

Sijamkumbukaaa auntie anaitwa na cocs nimemsaidia tu kumuitia
Wengine sie humu hatukumbukwi ila uzuri tunawakumbuka


🤣🤣🤣🤣🤣Mbona hivi lakini?..Aliyekumbukwa humu naniiiii we mzeee zaidi ya cocs kumuita lee na me kumsaidia kumuitiaaa we ukikumbukana na swahiba wakooo makiii inatoshaa![]()
Basi akii9na ajitokeze alipo😅Sijamkumbukaaa auntie anaitwa na cocs nimemsaidia tu kumuitia
Marahaba, hujambo mndali wa undali Ilejeshikamoo woteee
Ungekuwa karibu nami ningekufanyia mpango, lakini daah, pole sana bro.Makapuku wenzangu sina hela ya kula hapa nilipo.. tunafanyaje??
Mkuu Tresor Mandala mambo vipiWengine sie humu hatukumbukwi ila uzuri tunawakumbuka