Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mchana mwema Makapuku
693797174215.jpg
 
itakua shem angu hana wivu! Wee mwenyewe unaona nlivyokua active humu,

Ila shem ako ana wivuu jamanii, utadhani tunajuana leo, kumbe tumeshazoeana kitambooo.

Dyadya wengine hawana ndoa, niamini mie

Ndoa mchezooo, watuachee wenye nazooo,

Ila Dogo
Kwani sisi Dada zako ndoa hatuna na JF tupo?

auntie mume wa cocs kama wa mtani wako hataki awe active jf yaani nikimention hapa nitakula kichambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom