Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Maroon ni nzuri mno...Maroon ni nzuri nilimuona nayo mtu. Nilikuwa na red ndogo yake.
Maroon ni nzuri mno...Maroon ni nzuri nilimuona nayo mtu. Nilikuwa na red ndogo yake.
😊Ndiyo haiwezekani...
🤣🤣🤣🤣 si tulishakubaliana unachovuta uache au?Najua hata basi..
Yaani dagaa na ugaliChakula changu pendwa![]()
Auntie hiyo red ndogo naiomba basiMaroon ni nzuri nilimuona nayo mtu. Nilikuwa na red ndogo yake.
Bora nimlambe makofi🤣Ipo siku utakutana naye![]()
Na mlenda au majani ya maboga 😋😋😋Yaani dagaa na ugali
Ndio maana nimesema "nilikuwa nayo" ilishabebwa na binti yangu🤣Auntie hiyo red ndogo naiomba basi
Binti yanguNdio maana nimesema "nilikuwa nayo" ilishabebwa na binti yangu![]()

ebu huyo mbibi mtoe kwa avatar🤣🤣🤣🤣Binti yanguebu huyo mbibi mtoe kwa avatar