Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Sare sare 😍😍😍Mwangalie![]()
Weeeh! Maokoto tena!!Uko njiani kwenda wapiiisubiria dec ipite kwanza utume maokoto
La kutegemea maokoto🤣🤣Lipi hilooo![]()
Same colour na pink yake🤣Kumbe auntie unalo![]()
Alooooh hilo pink litakuwaje tamuSame colour na pink yake![]()
Auntie naomba hilo jeusi la nyumaSare sare![]()
Lipi hilo?Auntie naomba hilo jeusi la nyuma
Aje hapa atupe uhakika, lasivyo 2025 inakuhusu.Nacheka mimi
Hilo la kwanza kabia kuliaLipi hilo?
Aje hapa atupe uhakika, lasivyo 2025 inakuhusu.


Kaenda kuita watu babe uko mpaka arudi sio leoNjoo ulichukue auntieHilo la kwanza kabia kulia

Weeeeeh! Anamuita nani nikambarase?Kaenda kuita watu babe uko mpaka arudi sio leo
La pink sio tamu kama lile lingine.Kaenda kuita watu babe uko mpaka arudi sio leo
Weeeeeh! Anamuita nani nikambarase?
Alooh utakutana naye uko kwenye kuzurura auntie
Kweli yellow ipo vizuri sanaaaLa pink sio tamu kama lile lingine.