Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,360
- 176,180
🤣🤣🤣🤣🤣 napenda ugali na tambi.Una DNA za kisukuma Mkuu😅
🤣🤣🤣🤣🤣 napenda ugali na tambi.Una DNA za kisukuma Mkuu😅
Unaweza ukahama usukumani ila kuuacha usukuma ni kazi sanaa🤣🤣🤣🤣🤣 napenda ugali na tambi.
🤣🤣🤣Unaweza ukahama usukumani ila kuuacha usukuma ni kazi sanaa
Na aliyegundua wali na maharage utamuweka wapi SeliAlieyegundua ugali dagaa moja kwa moja peponi semaa atakaaa nyuma ya aliyegundua chai ya rangi na kiporo cha walijokes kidogo



Halafu kibaki kiporo na chai ya rangi
Daah mate yamenitoka halafu vyote viwe naziKiporo cha wali upi sasa? Wali maharage au wali kisamvu ?
Detox hizoHiyo hatari ya kutoa sumu kwa njia za asili ni ipi auntie?
Yaani nimecheka kumbe huwa wanakimbiagahao hata vita watakimbia hao.

Nilimaanisha hicho Mkuu ..Na aliyegundua wali na maharage utamuweka wapi SeliHalafu kibaki kiporo na chai ya rangi
Mweeeeh!! Sasa nini salama kwenye hii dunia🙆🙆🙆Detox hizo
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani nimecheka kumbe huwa wanakimbiaga![]()
Auntie kila kitu unaambiwa kina matatizo tufanye hivyohivyo tu hakuna namnaMweeeeh!! Sasa nini salama kwenye hii dunia![]()
Unafikiri mchezo!!
Yaani nilivyosoma nilicheka sana
Kheeh nitajaribu hiyo nitaleta mrejeshoHiko kiwe na samaki wa kukaanga pembeni acha kabisa![]()
Hahahahaha,na chai ya maziwaDaah mate yamenitoka halafu vyote viwe nazi
Wali maharage ,ni chakula cha taifa..sasa kuna sehemu wali maharage wanachanganya na sukari,😂😂 ,hii ilinishinda kbsNa aliyegundua wali na maharage utamuweka wapi SeliHalafu kibaki kiporo na chai ya rangi
Angalau makaveli10 wangu ni salama 🤣Auntie kila kitu unaambiwa kina matatizo tufanye hivyohivyo tu hakuna namna
Waliona cha kufia nini? Haki tukivamiwa tujiandae kisaikolojia maana wajeda watatukimbia🤣🤣🤣🤣Yaani nilivyosoma nilicheka sana
Anakudanganya, hata hainogi🤣🤣Kheeh nitajaribu hiyo nitaleta mrejesho
Salama japo sio KONDOMU 🤣😂Angalau makaveli10 wangu ni salama 🤣