Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Familia which![]()

Familia which![]()

Sasa mimi kosa langu nini jamani😭😭😭Mshenzi wewe
Auntie ubahili hata haukufai eti😂Yaishe basi abaki huyo huyo mbibi bwanah![]()
Auntie ubahili hata haukufai eti![]()
NiacheeeeUnanikosea adabu ujue.. Ina maana mimi ni mpuliza moshi, yani mtu kama mimi niwe navuta yale madude natoa moshi kama treni ya mwaka 47!!? 😂🤣makaveli10 kumbe ndio maana unaniona kivuruge😂😂😂
Nimekuja beib, niambie mupenziBabe njoo nikwambie kitu.
Ingekuwa wanatoa kemikali zinazosababisha mtu kulewa.
...🤣🤣🤣🤣 kummiss kwangu hakua bahili ila miwivuu sasa na kuchungana., sitaki ht kumsikia, Wiii kaka wenu nilimpa password ya Id yangu akanibadilishia 🤣🤣🤣🤣 kisa alikuta nimetoa no ya nitumiwe Chech za Moet jamn... Kanitesa mbwa yuleLazima ummiss my wiii ila nimefurahi mnoooo kukuona kipenzi
😔Tumekutana JLW ananiambia nimependa haiba yako, mimi kuishi na haiba aliyonipendea kosa hapo? ndg wameeanza kuwa upande wake sasa🤣🤣🤣🤣Itakuwa ulikuwa mkorofi wewe, sie ukoo wetu wapole sana.
😂😂😂😂😂😔Tumekutana JLW ananiambia nimependa haiba yako, mimi kuishi na haiba aliyonipendea kosa hapo? ndg wameeanza kuwa upande wake sasa🤣🤣🤣🤣