Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Mmh kuna usalama kweliiiBabe njoo nikwambie kitu.
maka akee usiendeee
...kummiss kwangu hakua bahili ila miwivuu sasa na kuchungana., sitaki ht kumsikia, Wiii kaka wenu nilimpa password ya Id yangu akanibadilishia
kisa alikuta nimetoa no ya nitumiwe Chech za Moet jamn... Kanitesa mbwa yule
Mvumilie tu my wiiiKuwa na aman ,Makapuku ni sehemu salama zaidi ktk chit chat ya kudumuMmh kuna usalama kweliiimaka akee usiendeee
Shangazi,Makapuku ni sehemu salama kuna ulinzi wote wa Iron Dome ,hapa ni full security 😂😂Nacheka mimi my wiiii
Acha wivuuuuu🤣🤣🤣Mmh kuna usalama kweliiimaka akee usiendeee