Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,413
- 176,330
Hapana, sitaki.Sasa we hutaki 🤰🤱?
Hapana, sitaki.Sasa we hutaki 🤰🤱?
So huna mpango wa tuongeze watu ulimwenguni na mimi?😳Hapana, sitaki.
Tulio nao wanatosha.So huna mpango wa tuongeze watu ulimwenguni na mimi?😳
Tuongeze walau wawili..Tulio nao wanatosha.
😂😂😂😂😂Tuongeze walau wawili..
Mmoja utimbi mwingine utimbiliyo.
Version 3Mtu Chake anatutambia na app yake na hajui ni version ipi. Sasa tutakuwa wageni wa nani?😂😂😂😂
Kwani uliniomba msaada? Ila mie sio tech dept ya JF nakusaidiaje sasa😂😂😂😂😂
Sasa unatusaidiaje ikiwa hujui🙆🙆🙆
Ebu irudishe auntieHa ha ha...
Ngoja nitarudisha ile ya mwanzo kabisa wakati najiunga JF..

na anatumia app kama sie
Usiumie shunie akee, furahia nami nduguyo nimepata wa kuniliwaza.

Acha tufurahie tu hakuna namna
Auntie makiii unaye wewe wa kukupeleka vacation au upo kama mie tuKuusaka ugali mamsapu, siunajua kuna suala la VACATION.. lazima tuutunishe mfuko.

kupatwa kwa auntie yangu atoto