Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
YaaaniIla jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini![]()


watu wanaliogopa
Shunie akee, mtoto kanizimia mimi ujue jalafu we unamrushia njiwa wangu kwa mtu mwingine.


Huyo ni chaguo lako maka akeeHapo nimefika, kigoma mwisho wa reli. 🤣Huyo ni chaguo lako maka akee
Wanafeli, Kama ni darasani basi ni sifuri yenye kuwekewa na masikio. 🤣Ndio wanavyojua
Linafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti🤣🤣🤣Yaaaniwatu wanaliogopa
NENO LA LEO.
ukitaka kuona umuhimu wa matako, jaribu kukalia kichwa.





Linafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti
Maneno huumba.
Ila mlikuwaga na motooo na visiraniii![]()


Visirani gani waliolianzisha wenyewe ndio walikuwa moto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Auntie nitake radhi bwanah baby wangu ni Lee atabaki kuwa lee
Naomba usinipe watu wengine niliyenaye ananitosha
Auntie nimeelewa! Zingatia maokoto.
