Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Yuko hapa kalala ....part 3 inafata soon


Baby aliniambia nikuombe hela nimtumie nauli aje mjiniSio kapuku wa mtonyo.. 🤣Kwahiyo nawe kapuku? Mie akuuu!
Alafu mida hii uko unafanya nini ata kama kunguni zinapiga route...babez wanabembelezwa...usinambie unaangalia mpira![]()


Hivi mlikeshaWa nini?Sio kapuku wa mtonyo.. 🤣
Anataka nifanye kazi ya bure bure eti!!


hakunaga mwendo ni nipe nikupe
Nafurahi kusikia hivyo maka akeeNashukuru mungu, nami niko vizuri shunie akee
Wewe si ndio okota okota🤣🤣🤣mnaendana bwana na poker
Na vitenge vya kutosha. Lasivyo litamkuta jambo😂😂😂hakunaga mwendo ni nipe nikupe
Soma mwanzo wa uzi huu, utajua. 🤣Wa nini?
Upendo wetu udumu shunie akee..Makapuku oyeee maka akee nimefurahi kukuona humu upendo ndio kitu tunajua
Enzi za mokili mobimba, tumbwisa, tumbwisa......marashi ya Pemba, vijana hawaelewi.
Anko wangu kwa kuniharibia hajambo, ila na wewe uwe unanipa sifa nzuri kule kaskazini mwa nchi
🤣🤣🤣🤣Ni mimi lakini ukinivuruga
🤣🤣🤣🤣🤣Eti ndio wewe![]()
Labda yeyeHivi mlikesha
Oya mzee mwenzangu, baelezee husna nimemmisi saanaAnko hapa ndiyo unakoseaga, ningekuita hapa Eco Beach jana lakini umechelewa leo niko Talatala nimemaliza kuwaangalia Taifa Stars.
Husna anakusalimia sana, hajakusahau
Ila jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini🙆🙆🙆🙆Soma mwanzo wa uzi huu, utajua. 🤣