Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Brazil imemwondoa winga Antony kwenye kikosi baada ya staa huyo wa Manchester United kudaiwa kumpiga aliyekuwa mpenzi wake na sasa anachunguzwa..
Kwenye kikosi hicho cha Brazil
nafasi yake imechukuliwa na straika wa Arsenal, Gabriel Jesus kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia..
Na hilo limekuja baada ya polisi wa Sao Paulo huko Brazil kutoa ripoti hiyo miezi mitatu iliyopita. Mpenzi wake wa zamani Antony, mrembo Gabriela Cavallin aliripoti polisi tukio la kupigwa, kutishiwa maisha pamoja na kuumizwa mwilini. Na sasa mrembo huyo ameweka bayana meseji za mchezaji huyo zilizokuwa za vitisho.
.
Antony amekana kutenda kosa hilo na kusisitiza atapambana kusafisha jina lake. Lakini, hilo halimwingia akilini kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Fernando Diniz, aliyeamua kumwondoa kwenye kikosi na kumuita Jesus.
Wasiwasi wangu umemalizwa na jambo linaloitwa wakati. Wakati umetuonyesha kwamba Banda hakuwa mchezaji wa ajabu kama ilivyozungumzwa. Banda ni aina ya wachezaji ambao waliurudisha nyuma kidogo ubora wa Simba. Yeye pamoja na mwenzake Pape Sakho hawakuweza kuziba pengo la mchezaji kama Luis Miquissone pale alipoondoka.
Apr 09, 2021
Al Ahly 1-0 Simba

