Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Utaambiwamkuu shangazi ebhu sema ....unaweza pata dompo ya buree
Halafu hizo mambo nimeacha Mkuu

Utaambiwamkuu shangazi ebhu sema ....unaweza pata dompo ya buree

Hahahaha,swahiba unanitisha swahibaHakuna kitu Swahiba![]()
Wewe huyooooUtaambiwa
Halafu hizo mambo nimeacha Mkuu![]()
Swahiba mie nasubiri uncle wangu toka kwakoHakuna kitu Swahiba![]()
Kumbe we ni mlokole?Utaambiwa
Halafu hizo mambo nimeacha Mkuu![]()
Ameen kubwaYako vzr ,binafsi nimeyapenda sana ,yana uhai na Aman,Mungu awabariki sana
Hallelujah!Safi sana Shangazi, binafsi nimeyapenda sana,Mungu ameyapa kibali na kuweka mkono wake,![]()
Ameeen
Na kila mwenye Pumzi aseme Amina.
😳😳😳😳😳
Abee!
Maisha yamempiga kaamua ajifanye msusi wa dread nini🤣🤣🤣🤣Lee anauliza kichwani uko na dread
Maisha yamempiga kaamua ajifanye msusi wa dread nini![]()


Auntie anataka ajue maana kasema kichwa chako kama uko na dred ndio maana msumbufu
Nitag akijibuAuntie anataka ajue maana kasema kichwa chako kama uko na dred ndio maana msumbufu
AmenHallelujah!
Achana nae huyo ashalewa wanzuki.Auntie anataka ajue maana kasema kichwa chako kama uko na dred ndio maana msumbufu
Halafu mie sister, haturuhusiwi kusokota dread.Nitag akijibu