Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Sijui kwanini nakauka kwa kucheka hapa....


Si nakujua auntie yangu ulivyo mnaaa ya zamani aifute nimempa mpya
Bhana Nijibie Auntie...
Mwambie.....Anakata nywele zote Kichwani![]()


Hivi Lee amefikiria nini lakini
Niacheer we dada



Ila Lee ana maneno jamani....Si nakujua auntie yangu ulivyo mnaaa ya zamani aifute nimempa mpya







Sio wewe auntie ni atoto ujueHapana, Nanyoa..
Nini kimetokea?
Sio wewe ujue auntieHapana Auntie....
Nimemjibu tayari![]()
Eeeeeeh!!!!Nimejibu nikijua ni langu


Ebu ukoooo
Nataka nitoke nje niwapishe kwa Muda...
Wakubwa wanaongea....



Eeeeeeh...haya..Sio wewe auntie ni atoto ujue
Ila Lee ana maneno jamani....
Anakuambia haoni EX wako yoyote anayeweza kufanya anayokufanyia![]()


Sasa nina ex jamaniii yeye ndio mwanzo na mwishoSasa nina ex jamaniii yeye ndio mwanzo na mwisho





SitakiiiiiShikamoo na wewe..
Nimewaza kwa sauti, kuna namna nasomaaa maandishi yake naona huyu kichwani kasuka dreadHivi Lee amefikiria nini lakini
Nimemwambia aandike na kufoward kwa ex sotee aone reactionIla Lee ana maneno jamani....
Anakuambia haoni EX wako yoyote anayeweza kufanya anayokufanyia![]()