Makapuku Forum

Uongozi wa Yanga una mpango wa kumtema beki Mamadou Doumbia lakini mkataba ambao waliingia naye mwanzoni umewabana na sasa wamekaa wanakuna vichwa kuona watafanyaje.
.
Doumbia amefungua kuwa: “Nimekaa na viongozi wa Yanga zaidi ya mara tatu ili kuweza kumalizana lakini imeshindikana wanaomba kunitoa kwa mkopo jambo ambalo ni gumu, kama nikiondoka tutakuwa tumefikia makubaliano ya moja kwa moja.”
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…