STAA wa zamani wa Ligi Kuu England ambaye ni shabiki mnazi wa Arsenal, Darren Bent amemwambia kocha Mikel Arteta ampige benchi Kai Havertz na badala yake aendelee kumpa nafasi kikosini kiungo Thomas Partey
“Sikupata nafasi ya kucheza kama nilivyotaka miaka yote niliokuwepo Chelsea, sikufikia kiwango cha soka ambacho nilitaka, kuna wakati nilikuwa natamani sana nipate nafasi za kucheza, kwasababu yoyote ile haijalishi, kama nilivyosema, nimefurahi kujiunga na AC Milan, nipo tayari kwa changamoto mpya.” Christian Pulisic.
Asante kwa mainfoo“Huyu mchezaji mkubwa ambaye ana mkataba na timu kubwa mbona analeta tabu, Simba ikiamua jambo imeliamua.”
- Mwekezaji wa Simba @moodewji via InstagramView attachment 2691661
BarikiwaAsante kwa mainfoo
Kama nimekuota leoBarikiwa
He he umeniota nini etiKama nimekuota leo