Makapuku Forum

Makapuku Forum

Club ya Al Ahly ya Misri imevunja mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili, taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mchezaji huyo imethibitisha.

Miquissone alijiunga na Al Ahly ya Misri akitokea Simba SC ya Tanzania 2021 ila amekosa nafasi ya kucheza toka aondoke Kocha Pitso Mosimane na sasa amevunja mkataba ili aende sehemu atakayopata nafasi ya kucheza.

Asilimia 90 Luis Jose Miquissone anarudi Simba SC inaeleza ameshakubaliana maslahi binafsi na Uongozi.
Screenshot_20230718_204830_Instagram.jpg
 
Club ya Al Ahly ya Misri imevunja mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili, taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mchezaji huyo imethibitisha.

Miquissone alijiunga na Al Ahly ya Misri akitokea Simba SC ya Tanzania 2021 ila amekosa nafasi ya kucheza toka aondoke Kocha Pitso Mosimane na sasa amevunja mkataba ili aende sehemu atakayopata nafasi ya kucheza.

Asilimia 90 Luis Jose Miquissone anarudi Simba SC inaeleza ameshakubaliana maslahi binafsi na Uongozi.View attachment 2692328
Ila nimekumiss
 
Ukisikia pombe inaungaza ini.. basi linakuwa hivi..hapa ini limeoza kutokana na pombe..

Wataalamu wanaita Alcoholic Liver Cirrhosis... kuna sababu nyingine zinazoweza kusababisha ini kuoza ila sababu kubwa ni pombe...

Mgonjwa akishafikia hatua hii utakuta anatapika damu, tumbo linajaa maji na kama ni mwanaume matiti yanaanza kuota...

Bahati mbaya pombe zote zina madhara sawa kwenye ini..sio kimpumu, Hennessy wala wine kinachojalisha ni muda gani umekunywa..

Ini likioza katika nchi zilizoendelea unaweza kupandikizwa ini jingine, huku kwetu..!! vipi bado mtakunywa pombe..!?
Screenshot_20230718_210717_Instagram.jpg
 
Ukisikia pombe inaungaza ini.. basi linakuwa hivi..hapa ini limeoza kutokana na pombe..

Wataalamu wanaita Alcoholic Liver Cirrhosis... kuna sababu nyingine zinazoweza kusababisha ini kuoza ila sababu kubwa ni pombe...

Mgonjwa akishafikia hatua hii utakuta anatapika damu, tumbo linajaa maji na kama ni mwanaume matiti yanaanza kuota...

Bahati mbaya pombe zote zina madhara sawa kwenye ini..sio kimpumu, Hennessy wala wine kinachojalisha ni muda gani umekunywa..

Ini likioza katika nchi zilizoendelea unaweza kupandikizwa ini jingine, huku kwetu..!! vipi bado mtakunywa pombe..!?View attachment 2692360
Maisha mafupipiiii.........
Asikwambie mtuuuu.....

Auntie tusitishane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom