Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji599] SIMBA wanaendelea kutambia usajili unaofanywa na mabosi wao hadi sasa, huku utamu zaidi ni taarifa za winga Peter Banda kukubali kumpisha Luis Miquissone anayejiandaa kutua kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki katikati ya wiki hii kurejesha burudani Msimbazi.
.
Banda ndiye aliyekuwa mrithi wa Luis mara alipouzwa Al Ahly ya Misri na kupewa jezi namba 11 aliyokuwa akiitumia winga huyo kutoka Msumbiji ambaye Simba inamrejesha klabuni kwa mkopo baada ya kumalizana na Wamisri.
.
Habari za ndani ya Simba zinasema, Sio Banda tu, bali hata winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho naye dili la kutaka kuuzwa Ulaya limekaa vizuri na kutoa nafasi kwa Simba kuingiza majembe mawili ya kuhitimisha idadi ya nyota wa kigeni kwani kwa sasa tayari ina wachezaji 12.