Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hivi huu uzi upotee kwako tu jamani [emoji1787]Uzi unapoteaga tatizo!![emoji134][emoji134]
Hivi huu uzi upotee kwako tu jamani [emoji1787]Uzi unapoteaga tatizo!![emoji134][emoji134]
Hatutaki🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijamtisha mtu auntie nimetoa taarifa mnywe kistaarabu
Si ndio nashangaa jamani🙆🙆Hivi huu uzi upotee kwako tu jamani [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa kunyweni muunguze maini hayo na mkufweHatutaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi inakuwaje hauuoni si uingie chit chat uutafute kama haupo juuSi ndio nashangaa jamani[emoji134][emoji134]
Kufwa tutakufwa tu🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa kunyweni muunguze maini hayo na mkufwe
Naona uvivu. Mie nasomaga tu ninazokutana nazo kwenye timeline.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi inakuwaje hauuoni si uingie chit chat uutafute kama haupo juu
Ila cha moto mtakiona hivi hilo ini umeliangalia vizuri kwelii [emoji1787]Kufwa tutakufwa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi usilalamike auntie yangu kama umepoteaNaona uvivu. Mie nasomaga tu ninazokutana nazo kwenye timeline.
He he umeniota nini eti
He he nimekumiss pia dear juzi kati nilikuona unapambana kwenye thread nilioandikiwa we mtu thread ya kwanza imefungwa unaandika nyingine na zote zilifungwa na kuungwa sijui alitumwa na nani woiiii
HahahahaUmesimama nimechuchumaaa sijui tulikuwa tunafanya nini
Hiyo thread bado iko Auntie?He he nimekumiss pia dear juzi kati nilikuona unapambana kwenye thread nilioandikiwa we mtu thread ya kwanza imefungwa unaandika nyingine na zote zilifungwa na kuungwa sijui alitumwa na nani woiiii
MamboHiyo thread bado iko Auntie?
Hata kama imefungwa nipitepo tu[emoji1787]
Poa Swahiba...Mambo
Poa kabisa,mzima wewePoa Swahiba...
Mambo?
Mzima sana...Poa kabisa,mzima wewe
Mie niko poa kabsa, hivi swahiba na wewe hujaandikiwa uzi ,nikausomeMzima sana...
Hofu kwako?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sijaandikiwa Swahiba...Mie niko poa kabsa, hivi swahiba na wewe hujaandikiwa uzi ,nikausome
Sina babe jf na haitatokea kuwa na babeBabe wako mpya alikuandikia thread?